
Dakika 10 Za Kocha
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio. FEDHA ; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha. BIASHARA ; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea. Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi; #BaruaZaKocha ; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/ #Dakika10ZaKocha ; https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276 #AmkaNaKocha ; https://amkamtanzania.com/ #OngeaNaKocha ; https://www.youtube.com/@onkocha #WashirikaWaMafanikio (Kundi); https://chat.whatsapp.com/DldGMa1wCi71SlPb4iuMKZ Karibu ujifunze na kubadili maisha yako. Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

Pick up right where you left off
- Resume on any device
- Progress saved on every episode
- Plus every other Pro feature
From €2.49/month
Episodes
#DZK079; Ilani Ya Maisha Ya Mafanikio
Aug 27, 2026 · 10m
Resume with ProIlani Ya Maisha Ya Mafanikio. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Hakuna chama cha siasa kinachoenda kwenye uchaguzi bila kuwa na ilani. Na ilani bora ndiyo inayoleta ushindi, Na kuwa mwongozo wa utekelezaji. Wewe unataka ushindi kwenye maisha yako, Lakini je, ilani yako iko wapi? Umekuwa unakwama kwa sababu unaendesha maisha yako kwa mazoea na kufuata mkumbo. Utapata ushindi mkubwa pale...
#DZK078; Jinsi Ya Kuondoa Usumbufu Unaokukwamisha Kufanya Makubwa
Aug 26, 2026 · 10m
Resume with ProNjia ya Kukomesha Usumbufu Unaokuzuia Kufanikiwa. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Unajua kabisa unachotaka, Na unajua cha kufanya ili kupata unachotaka. Lakini inapofika wakati wa kufanya, unaahirisha. Na hata ukianza kufanya, huendelei, bali unaishia njiani. Hilo linasababishwa na usumbufu usiokuwa na tija. Na usipokuwa na njia nzuri ya kukabiliana na usumbufu huo...
#DZK077; Suluhisho La Sehemu Kubwa Ya Matatizo Yako, Taka Ulichonacho
Aug 25, 2026 · 10m
Resume with ProSuluhisho La Matatizo Yako. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Umekuwa unajiambia ukipata vitu fulani, Maisha yako yatakuwa bora. Unakazana na unapata vitu hivyo, Lakini bado unaona maisha hayajawa bora. Sababu kubwa ni moja, Kila mara huwa unataka usichokuwa nacho. Na ukishakipata, unataka kingine usichokuwa nacho. Lipo suluhisho rahisi la sehemu kubwa ya matatizo yako, Ambalo...
#DZK076; Kama Hupati Mafanikio, Mlaumu Mtu Huyu Anayekukwamisha
Aug 24, 2026 · 10m
Siwezi Kukuvumilia Kwenye Hili. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Kwa kipindi kirefu nimekuwa nakazana kukupa wewe *MAARIFA* ambayo ni bora sana kwako kufanikiwa. Wajibu wako umekuwa ni kuyaweka kwenye *VITENDO* ili uweze kupata *MAFANIKIO* makubwa. Ninapokuona unalalamika hufanikiwi, wakati huchukui hatua, siwezi kukuvumilia. Kwenye #BaruaYaKocha, nimekupa hotuba yangu kali...
#DZK075; Mkakati Huu Wa Rockefeller Utakupa Matokeo Makubwa Kwenye Jambo Lolote Unalofanya.
Aug 22, 2026 · 10m
Rockefeller Na Mkakati Uliompa Matokeo Makubwa. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Hakuna mtu anayepata mafanikio kwa kubahatisha. Kila unayemwona amepiga hatua kubwa, kuna vitu vya tofauti amefanya. Na uzuri, vitu hivyo huwa wazi na vinavyowezekana kwa wengine. John D. Rockefeller, aliyekuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa enzi zake, Alikuwa na mkakati rahisi na uhakika wa kumpa...
#DZK074; Hivi Ndivyo Kudhania Kunavyokukwamisha Wewe Kupata Mafanikio Makubwa.
Aug 21, 2026 · 10m
Kudhania Kunakukwamisha Kufanikiwa. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Ni mara ngapi umekuwa unajua unachotaka, Ukajua kabisa unachopaswa kufanya ili kukipata, Na bado hufanyi? Kinachokukwamisha? Kudhania. Kuna mambo hufanyi, kwa kudhania matokeo yatakuja tu. Unaamini wengine kwa kudhania wapo sahihi. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi kudhania kumekukwamisha kupata...
#DZK073; Hili Ndilo Sharti Pekee La Kupata Mafanikio Makubwa
Aug 20, 2026 · 10m
Usikiuke Hili Starti La Mafanikio. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Kila kitu kwenye maisha kina masharti yake. Mafanikio yana sharti moja kuu, Ambalo wanaofanikiwa wanalitimiza, Na wanaoshindwa wanalikiuka. Sharti la kwanza ni kujua sharti kuu la mafanikio, Na sharti la pili ni kutovunja sharti hilo. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha sharti hilo kwa umakini mkubwa, ili...
#DZK072; Msimamo Wa Kijinga Na Kuokoa Hasara Kunavyokupoteza Kimafanikio.
Aug 19, 2026 · 10m
Kuokoa Hasara Kunakupa Hasara Zaidi. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Unapokuwa kwenye safari na kugundua uelekeo siyo sahihi, Unapaswa kubadili uelekeo huo mara moja. Kubaki kwenye uelekeo huo kwa sababu umeshapoteza muda au kutumia gharama haisaidii. Unapobaki kwenye kitu kisicho sahihi ili kuokoa muda na gharama, unaishia kutumia muda na gharama zaidi. Na vyote hivyo...
#DZK071; Tatizo Likikushinda Lipelekee Huu Moto, Litasalimu Amri Lenyewe.
Aug 18, 2026 · 10m
Hakuna Tatizo Linaloweza Kushinda Hii Nguvu. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Kama unapokutana na tatizo unalifanyia kazi kadiri ya uwezo wako, Kamwe hutaweza kutatua matatizo na kupata mafanikio. Matatizo yanatakiwa kupelekewa moto mkubwa sana ambao hayawezi kuyastahili. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha nguvu unazopaswa kuweka kwenye kutatua tatizo lolote kiasi kwamba...
#DZK070; Kujenga Utajiri Mkubwa Kupitia Biashara, Unahitaji Wateja Wa Aina Hii.
Aug 17, 2026 · 10m
Utajiri Kwenye Biashara Hautokani Na Bidhaa Au Huduma. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Kampuni kubwa za usafirishaji, Uber, Bolt n.k, hazimiliki vyombo vya usafiri. Kampuni kubwa ya malazi, Airbnb, hazimiliki majengo. Kampuni kubwa za maduka ya mtandaoni, Amazon, Alibaba n.k, hazimiliki mali zote zinazouzwa. Kampuni hizo, ambazo zina thamani ya mabilioni ya dola, zinamiliki...
#DZK069; Propaganda Binafsi Zitakazokupa Mafanikio Makubwa.
Aug 15, 2026 · 10m
Bila Hizi Propaganda Hutoboi. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Kuna propaganda nyingi ambazo zimelengwa kwako ili kukuzuia kufanikiwa. Kwa sababu jamii inataka wewe uwe na maisha ya kawaida, ili iweze kukutawala. Inajua ukiwa na mafanikio makubwa sana, utakuwa huru na usiyetawalika. Kushinda propaganda hizo za jamii, unahitaji propaganda zitakazokupa mafanikio kwa uhakika...
#DZK068; Mafanikio Ni Siku Moja Tu, Leo.
Aug 14, 2026 · 10m
Mafanikio Yako Makubwa Ni Leo. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Unajikwamisha kufanikiwa kwa sababu unasubiri siku moja ndiyo upate mafanikio. Ukweli ni kwamba mafanikio hayaji siku moja, Bali ni mkusanyiko wa siku nyingi ambazo umeziishi kimafanikio. Na unajikwamisha sana kufanikiwa kwa kuahirisha kuishi siku zako kikamilifu. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya...
#DZK067; Vipi Kama Ungeongeza Jitihada Zaidi?
Aug 13, 2026 · 10m
Unachohitaji Ni Juhudi Za Ziada Kidogo Tu. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Ulipokuwa shule kuna utoto ulijifunza na unauendeleza kwenye maisha. Ulijifanya husomi sana, ila unafaulu kawaida. Umekuja kwenye kazi, unajifanya hufanyi kazi sana, ila maisha yanaenda. Kwenye biashara, unajifanya huweki kazi sana, ila inaenda. Hayo matokeo yote unayopata ni ya chini sana, ambapo...
#DZK066; Mwamba Wa Kazi Huyu Hapa, Tumpe Maua Yake Na Kujifunza Kutoka Kwake
Aug 12, 2026 · 10m
Kama Unadhani Unafanya Kazi Sana, Jitafakari Upya. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Unaweza kujiona mchapakazi sana, Kwamba unaweka juhudi kubwa kwenye kazi kuliko wengine. Vipi nikikuonyesha mtu aliyekuwa anafanya kazi masaa 16 mpaka 18 kwa siku, kila siku? Na kwa kila saa ya kazi, aliiweka kwenye kazi tu na siyo kitu kingine chochote. Zaidi, matokeo makubwa yalionekana...
#DZK065; Ushauri Mwingi Unakupoteza Kuliko Kukusaidia, Kuwa Makini
Aug 11, 2026 · 10m
Huhitaji Ushauri Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Ushauri ni kitu kinachotolewa kirahisi sana, Tena bure kabisa. Na unaweza kuona ushauri mwingi unaopewa ni mzuri. Lakini kiuhalisia, ushauri mwingi unaopewa ni hatari sana kwako. Hata ushauri ambao wewe unawapa watu wengine, Unawaumiza kuliko unavyowasaidia. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha kwa nini ushauri mwingi ni hatari...
#DZK064; Kwani Ni Nini Hasa Unachotaka Kwenye Maisha Yako?
Aug 10, 2026 · 10m
Unataka Nini? Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Unapambana sana ili ufanikiwe, Lakini je, ni nini hasa unachotaka kwenye maisha yako? Umewahi kukaa chini na kutafakari hilo kwa kina? Maana kama hujafanya hivyo, yote unayohangaika nayo sasa hayana maana. Na usipochukua hatua sasa, utapambana, utapata mafanikio na utayachukia maisha yako. Kabla hilo halijatokea, fanya kitu sasa...
#DZK063; Kanuni Ya Ushindi Wa Uhakika Kwenye Mchezo Wa Mafanikio
Aug 8, 2026 · 10m
Kanuni Ya Ushindi Kwenye Mchezo Wa Mafanikio. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Hivi unajua inakuhitaji nini ili uweze kupata ushindi kwenye mchezo wa mafanilio? ✅ Utayari wa kuweka kazi ndiyo tiketi ya kufuzu kushiriki mashindano. ✅Unawashinda 50% kwa kuweka kazi kwa juhudi kubwa. ✅Unawashinda 40% kwa kuwa na tabia bora. ✅Unawashinda 9% kwa kuwa mshindani asiyeyumbishwa. ✅...
#DZK062; Acha Kujidanganya, Hutaki Hicho Unachosema Unataka
Aug 7, 2026 · 10m
Imetosha Kujidanganya. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Ni mara ngapi umeweka malengo na mipango mikubwa sana, Lakini unashindwa kutekeleza kwa sababu mbalimbali. Zinaweza kuwa sababu za kweli kabisa zinakuzuia. Lakini kama unaweza kukwamishwa kwenye kupata kitu, *Je unakuwa unakitaka kitu hicho kweli?* Tukiwa wakweli, umekuwa unajidanganya sana. Na hilo ndiyo limekuwa...
#DZK061; Hakuna Anayejali, Wewe Shinda Tu (Just Win)
Aug 6, 2026 · 10m
Hakuna Anayejali, Wewe Shinda Tu (Just Win) Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Huenda ni kweli kwamba .... ... huna mtaji, ..... huna muda, ....... huna connection, ......... huna elimu kubwa. Lakini unajua nini, Usiposhinda, hakuna anayejali yote hayo. Hivyo una wajibu mmoja tu, *Kupata Ushindi.* Hilo ndiyo nimekuonyesha kwa kina kwenye #BaruaYaKocha. Isome barua hiyo hapa...
#DZK060; Kazi Ngumu Haiwezi Kukuua.
Aug 5, 2026 · 10m
Kazi Ngumu Haiwezi Kukuua Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Haina ubishi kwamba mafanikio makubwa yanataka mtu uweke kazi kwa juhudi kubwa sana. Lakini wengi tumekuwa tunajidanganya kwamba tumechoka na tunahitaji mapumziko. Wakati mwingine tunajiambia kufanya kazi sana siyo nzuri kiafya. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha kwa mifano kwa nini kazi ngumu haiwezi kukuua. Pia...
#DZK059; Usionee Wivu Mafanikio, Onea Wivu Na Mateso Pia.
Aug 4, 2026 · 10m
Usionee Wivu Mafanikio. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Unapoona watu ambao kuna vitu umewazidi, ila wamefanikiwa kuliko wewe, huwa unachukuliaje? Huwa ni rahisi kuona mafanikio ni mepesi, hasa pale tunapoona wengine wakiwa nayo. Lakini ukweli ni mafanikio halisi ni magumu kuliko yanavyoonekana kwa nje. Mafanikio yana mateso makali sana, ambayo mtu lazima ayavuke ndiyo...
#DZK058; Wewe Fanya Tu (Just DO It)
Aug 3, 2026 · 10m
Acha Maneno, FANYA. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Watu wengi wanasema jinsi wanavyotaka kufanikiwa. Lakini wanaofanikiwa hasa ni wachache mno. Na kinachowafanya hao wachache kufanikiwa ni kufanya. Washindi wanafanya, Wanafanya lolote linalohitajika ili kukamilisha kazi. Na wanafanya, Na kufanya, Na kufanya, Mpaka kazi ikamilike. Je wewe umejitoa kufanya kiasi gani? *Kwenye...
#DZK057; Kwa Jinsi Biashara Ilivyo Ngumu, Usihangaike Na Mambo Yanayozidisha Ugumu Na Kukukwamisha Kufanikiwa.
Aug 1, 2026 · 10m
Biashara Tayari Ni Ngumu, Usiongeze Ugumu Kwa Kuhangaika na Haya. Soma; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Kwa nadharia, biashara ni rahisi, 1. Jua hitaji ambalo watu wanalo. 2. Wafikie watu hao na kuwapatia hitaji hilo. 3. Kusanya pesa. 4. Rudia Lakini kwenye uhalisia, biashara ni ngumu mno. Na sehemu ya ugumu huo unasababishwa na watu wenyewe. Yaani ni ugumu wa kujitakia. Kwenye...
#DZK056; Usipoacha Hizi Dharau, Hutaweza Kujenga Mafanikio Makubwa.
Jul 31, 2026 · 10m
Acha Hizi Dharau Zinazokukwamisha Kufanikiwa. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Kama umekuwa unapambana sana kufanikiwa, Lakini bado matokeo unayopata siyo ya kuridhisha, Unaweza kuvunjika moyo. Hiyo ni kwa sababu unakuwa huelewi ni wapi unapokwama. Kwani unafanya kila kinachopaswa kufanyika. Habari njema ni lipo jibu la wapi unakwama. Kinachokukwamisha ni dharau. Kuna mambo ya...
#DZK055; Tumia Changamoto Kuwa Imara Zaidi Kwenye Safari Ya Mafanikio.
Jul 30, 2026 · 10m
Usife, Bali Kuwa Imara Zaidi. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Maisha yetu yote ni mapambano dhidi ya kifo. Tunakabiliana na hatari mbalimbali ambazo zinaweza kututoa kwenye njia tuliyopo. Tunapokutana na hatari hizi, kuna mambo matatu yanaweza kutokea; 1. Kudhoofika na kuanguka. 2. Kustahimili na kubaki tulivyo. 3. Kuwa imara zaidi. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya...