Your choices on this site

We store a few things on your device so the radio works. Only if you agree, we also remember your settings and count how the site is used. We do not use advertising cookies today. “Marketing” is off unless you allow it: then a small script from the third-party service Metricool helps us understand visits from social media. You can change your mind at any time with Cookie settings at the bottom of every page. Cookie Policy

CatchliteRadio
Dakika 10 Za Kocha cover art

Dakika 10 Za Kocha

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio. FEDHA ; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha. BIASHARA ; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea. Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi; #BaruaZaKocha ; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/ #Dakika10ZaKocha ; https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276 #AmkaNaKocha ; https://amkamtanzania.com/ #OngeaNaKocha ; https://www.youtube.com/@onkocha #WashirikaWaMafanikio (Kundi); https://chat.whatsapp.com/DldGMa1wCi71SlPb4iuMKZ Karibu ujifunze na kubadili maisha yako. Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

A podcast cover with a progress bar showing where you stopped

Pick up right where you left off

  • Resume on any device
  • Progress saved on every episode
  • Plus every other Pro feature

From €2.49/month

Episodes

Showing the latest 82 episodes of this show.

  • #DZK104; Ni Hujuma, Hakuna Ujinga Wenye Msimamo Kiasi Hicho

    Sep 27, 2026 · 10m

    Resume with Pro

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK103; Hawa Watu Unaowaamini Sana Ndiyo Wanaokukwamisha Kufanikiwa

    Sep 27, 2026 · 10m

    Resume with Pro

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK102; Hakuna Mtu Anayedanganyika Tena Na Hizi Mbinu Zako

    Sep 27, 2026 · 10m

    Resume with Pro

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK101; Nawapenda, Lakini Hampo Siriazi.

    Sep 26, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK100; Unakosea Kuanza Na Thamani Kisha Bei, Anza Na Bei Kisha Thamani.

    Sep 26, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK099; Kumi Ni Moja, Mtazamo Sahihi Wa Kutokukatishwa Tamaa Na Kushindwa.

    Sep 26, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK098; Mafanikio Yanataka Uwe Mbishi Sana, Hakuna Kinachokuja Kirahisi.

    Sep 26, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK097; Ni Wewe Mwenyewe Unayejikwamisha Kupata Zaidi Ya Unachopata Sasa.

    Sep 26, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK096; Ujinga Unakutosha Kufanikiwa. Werevu Unapunguza Gharama. Upumbavu Ni Mzigo.

    Sep 26, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK095; Wakikuheshimu Inatosha, Kupendwa Jipende Mwenyewe.

    Sep 26, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK094; Unakuwaje ‘Bize’ Na Matokeo Hayaonekani

    Sep 26, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK093; Hili Ndilo Eneo Pekee Ambalo Kamwe Siwezi Kukuamini.

    Sep 25, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK092; Hiyo Siku Moja Ndiyo Sasa

  • #DZK091; Huhitaji Akili Kubwa Sana Kufanikiwa Kama Utaweza Kufanya Kitu Hiki Kimoja

    Sep 24, 2026 · 10m

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...

  • #DZK090; Tumia Sababu Hizi Kuendelea Hata Pale Unapokuwa Na Kila Sababu Za Kukata Tamaa

    Sep 9, 2026 · 10m

    #BZK090; Tumia Sababu Hizi Kuendelea Hata Pale Unapokuwa Na Kila Sababu Za Kukata Tamaa Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1009/ Rafiki yangu Mpendwa, Mafanikio ni rahisi kuyasema na kuyapanga, lakini ni magumu mno kuyapata. Hiyo ndiyo sababu pamoja na wengi kutaka mafanikio, wachache sana ndiyo wanaoyapata. Na siyo kwamba wachache hao wanaoyapata mafanikio...

  • #DZK089; Mafanikio Yanataka Uzito, Lakini Dunia Inakuhadaa Na Wepesi

    Sep 8, 2026 · 10m

    #BZK089; Mafanikio Yanataka Uzito, Lakini Dunia Inakuhadaa Na Wepesi Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1008/ Rafiki yangu Mpendwa, Tunaishi kwenye dunia inayokwenda kwa kasi kubwa sana. Maendeleo makubwa ya teknolojia yamerahisisha sana mambo yote ambayo binadamu tunayafanya. Mtu aliyefariki karne ya 19 na hata ya 20, akifufuka leo na kuona hatua ambazo...

  • #DZK088; Hii Ndiyo Sababu Ya Maisha Yako Kutokubadilika Licha Ya Kupambana Sana Kujiboresha

    Sep 7, 2026 · 10m

    #BZK088; Hii Ndiyo Sababu Ya Maisha Yako Kutokubadilika Licha Ya Kupambana Sana Kujiboresha Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1006/ Rafiki yangu Mpendwa, Eneo la maarifa na hamasa ya mafanikio kwa sasa lipo vizuri sana. Kila mtu anayetaka mafanikio kwenye jambo lolote lile, ana fursa nyingi za kujifunza na kuhamasika ili kufanikiwa. Siri zote za mafanikio...

  • #DZK087; Siri Nzuri Usiyoijua Kuhusu Nidhamu Binafsi

    Sep 5, 2026 · 10m

    *#BZK087; Siri Nzuri Usiyoijua Kuhusu Nidhamu Binafsi* Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1002/ Rafiki yangu Mpendwa, Inapokuja kwenye mafanikio, nimekuwa nakusisitizia mambo mawili ya kujenga, tabia na nidhamu sahihi ya mafanikio. Huwa tunajenga tabia na kisha tabia zinatujenga, kwa sababu sehemu kubwa ya mambo tunayofanya kila siku tunaongozwa na tabia...

  • #DZK086; Kwa Nini Umechagua Huu Utumwa Kwenye Ulimwengu Unaoweza Kuwa Huru?

    Sep 3, 2026 · 10m

    *#BZK086; Kwa Nini Umechagua Huu Utumwa Kwenye Ulimwengu Unaoweza Kuwa Huru?* Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1001/ Rafiki yangu Mpendwa, Nimekuwa nakukumbusha sababu kuu mbili za maamuzi yote tunayofanya sisi binadamu. Sababu hizo zikiwa ni furaha na uhuru. Tunafanya maamuzi ili kuwa na furaha na kuwa huru zaidi. Hayo ndiyo mahitaji yetu ya msingi...

  • #DZK085; Kama Unaweka Malengo Na Huyatimizi, Tumia Huu Mbadala.

    Sep 3, 2026 · 10m

    *#BZK085; Kama Huwa Unaweka Malengo Na Huyatimizi, Achana Na Malengo Na Fanya Kitu Hiki* Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/1000/ Rafiki yangu Mpendwa, Imegundulika kwamba watu huwa wanaweka malengo yake yale, kila mwaka kwa mpaka miaka 10 bila kutekeleza. Yaani imekuwa ni kama fasheni, kila mwanzo wa mwaka watu wanaweka malengo na kuamini mwaka huo...

  • #DZK084; Kwa Nini Kesho Isiwe Leo, Kwa Nini Baadaye Isiwe Sasa?

    Sep 2, 2026 · 10m

    #BZK084; Kwa Nini Kesho Isiwe Leo, Kwa Nini Baadaye Isiwe Sasa? Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/998/ Rafiki yangu Mpendwa, Wengi wanashindwa kwenye maisha siyo kwa sababu ya kutokujua cha kufanya, bali kwa sababu ya kutokufanya kile wanachopaswa kufanya ili wafanikiwe. Na wanashindwa kufanya siyo kwa makusudi, bali kwa nia njema kabisa, ya kusogeza mbele...

  • #DZK083; Tumia Hatua Hizi Tano Kutatua Tatizo Lolote Kwa Uhakika

    Sep 1, 2026 · 10m

    #BZK083; Tumia Hatua Hizi Tano Kutatua Tatizo Lolote Kwa Uhakika Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/996/ Rafiki yangu Mpendwa, Matatizo ni sehemu ya maisha. Na unapotaka mafanikio makubwa, ndivyo pia unavyokutana na matatizo makubwa. Kitu kimoja kuhusu matatizo ni huwa hayaondoki yenyewe mpaka yatatuliwe. Hata uyakatae na kuyapuuza matatizo kiasi gani...

  • #DZK082; Kama Hujapata Mafanikio Unayotaka, Umekwama Kwenye Moja Ya Maeneo Haya Matano

    Aug 31, 2026 · 10m

    #BZK082; Kama Hujapata Mafanikio Unayotaka, Umekwama Kwenye Moja Ya Maeneo Haya Matano Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/994/ Rafiki yangu mpendwa, Mara zote tunakazana sana na kile tunachotaka, ambayo ndiyo mafanikio tunayopambania. Na licha ya kupambana sana, bado hatupati matokeo tunayokuwa tunatarajia kupata. Hapo ndipo wengi wanaposhindwa kuelewa, kwa...

  • #DZK081; Una Huu Wajibu Mkuu Mmoja Kwenye Maisha, Utimize Kwa Ukamilifu

    Aug 29, 2026 · 10m

    Timiza Huu Wajibu Uwe Na Maisha Bora. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/992/ Rafiki, Kuna wajibu mmoja mkubwa ambao upo nao kwenye maisha. Kushindwa kutimiza wajibu huo ndiyo kumekukwamisha kuwa na maisha bora. Kwenye #BaruaYaKocha nimekueleza kwa kina wajibu huo. Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/992/...

  • #DZK080; Wasaidie Watu Kwa Kuwa Na Roho Mbaya

    Aug 28, 2026 · 10m

    Kama Unataka Kuwasaidia Watu, Kuwa Na Roho Mbaya. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/990/ Rafiki, Kuna usemi kwamba *Huruma Siyo Malezi.* Unapokuwa kwenye nafasi ya kulea au kuongoza, Kuwaonea watu huruma haina msaada kwa yeyote. Kama kweli unataka kuwasaidia watu, lazima uwe na roho mbaya. Na roho mbaya hiyo haihusishi kuwafanyia watu mabaya, Bali kufanya...