
Dakika 10 Za Kocha
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio. FEDHA ; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha. BIASHARA ; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea. Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi; #BaruaZaKocha ; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/ #Dakika10ZaKocha ; https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276 #AmkaNaKocha ; https://amkamtanzania.com/ #OngeaNaKocha ; https://www.youtube.com/@onkocha #WashirikaWaMafanikio (Kundi); https://chat.whatsapp.com/DldGMa1wCi71SlPb4iuMKZ Karibu ujifunze na kubadili maisha yako. Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .

Pick up right where you left off
- Resume on any device
- Progress saved on every episode
- Plus every other Pro feature
From €2.49/month
Episodes
#DZK004; Endelea Na Safari Ya Mafanikio Hata Mambo Yanapokuwa Magumu.
Jun 1, 2026 · 10m
Resume with ProENDELEA HATA KAMA MAMBO NI MAGUMU Rafiki, Safari ya mafanikio makubwa haijawahi kuwa rahisi. Unaweza kujua unachotaka na ukaweka juhudi kubwa. Lakini bado matokeo yakawa tofauti na matarajio. Hapo ndipo wengi hukata tamaa na kuacha. Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa sababu 5 za kwa nini unapaswa kuendelea hata mambo yanapokuwa magumu. Isome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Become a...
#DZK003; Furahia Kutokueleweka Na Wengine
May 30, 2026 · 10m
Resume with ProFurahia Kutokueleweka Na Wengine. Rafiki, Utakapofanya zoezi la *KWA NINI SABA* na ukalijua kusudi la maisha yako na ndoto zako kubwa, Utagundua kwamba uko tofauti kabisa na kila mtu. Watu wote wanaokuzunguka hawatakuelewa. Watakuona kama mtu uliyechanganyikiwa na utakayeenda kushindwa. Wengi wanakwamishwa na hilo na kushindwa kufanikiwa. Kama wewe unataka kufanikiwa, *lazima ufurahie...
#DZK002; Kwa Nini Saba Zitakazokupa Mafanikio Makubwa.
May 29, 2026 · 10m
Resume with ProKWA NINI 7 ZITAKAZOKUPA MAFANIKIO MAKUBWA Rafiki yangu mpendwa, Ulikuja hapa duniani bila maelekezo yoyote ya unachoweza kufanya na kwa nini uko hapa duniani. Siyo kwa sababu umekuja hapa duniani bahati mbaya, bali kwa sababu majibu yako ndani yako. Lakini kwa bahati mbaya sana, hujawahi kupata nafasi ya kujua majibu hayo. Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa mchakato wa KANUNI 7 utakaokuwezesha kujua...
#DZK001; Rudia Rudia Bila Kuchoka (MAKIRITA 10 X 10 KILA SIKU)
May 28, 2026 · 10m
Rudia Rudia Bila Kuchoka Rafiki, Kwa kipindi ambacho nimejifunza na kuishi kanuni za mafanikio, Kuna kitu kimoja nimeona kinawatenganisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa. Kitu hicho ni uwezo wa kurudia rudia mambo yanayochosha bila kuchoka. Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha mambo 10 (MAKIRITA 10 × 10 KILA SIKU) ninayoazimia kuyafanya kwa kurudia rudia kila siku bila kuacha. Karibu ujifunze...
#DZK000; Kwa Heri Mashine, Karibu Tena Binadamu.
May 28, 2026 · 10m
Kwa Heri Mashine, Karibu Tena Binadamu. Rafiki, Ujio wa Akili Mnemba (AI) umeleta mapinduzi na manufaa makubwa. Lakini pia umekuja na hatari ya kupoteza kitu pekee ambacho kimekuwa kinatutofautisha sisi binadamu na viumbe wengine. Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha hilo na jinsi ya kuliepuka. Pia kwenye #Dakika10ZaKocha, nimefanua kwa kina. Soma barua hapa; https://learn.tanzaniteskills...
#DZK009; Hakuna Mbadala Wa Ubora Wa Juu Kwenye Mafanikio Makubwa
May 27, 2026 · 10m
🔥 UTAJIRI, HESHIMA NA FURSA HAVIENDI KWA WATU WA KAWAIDA. Dunia inakulipa kwa kiwango cha UBORA unaouonyesha kila siku. Kila jambo lina maana. Kila tabia ina gharama. Kila uzembe unakupunguzia thamani. ⚠️ Watu wengi wanataka maisha makubwa huku wakifanya vitu kwa kiwango cha chini. Na hapo ndipo wanapopoteza kila kitu bila kujua. #BaruaYaKocha itakufundisha kwa nini: ✅ Ubora ni mfumo wa maisha ✅...
#DZK008; Fanya Kwa Kupitiliza
May 26, 2026 · 10m
🔥 Watu wengi wanabaki wa kawaida kwa sababu wanaogopa kuonekana “wamepitiliza.” Ukitaka fedha kubwa, mafanikio makubwa, na maisha makubwa… lazima ukubali: ✔️ Kusemwa ✔️ Kuonekana tofauti ✔️ Kufanya kazi kupita kawaida ✔️ Kuwa na moto ambao watu wengine hawauelewi Usipunguze makali yako ili kuwafanya watu wengine wajisikie vizuri. 🚀 #BaruaYaKocha itabadilisha namna unavyoona mafanikio, kazi, na...
#DZK007; Usipojipanga, Utapangwa.
May 25, 2026 · 10m
🔥 WATU WENGI HAWAISHI MAISHA YAO… WANATEKELEZA MAAGIZO YA JAMII. Ukikosa kuchagua maisha yako, dunia itakuchagulia. Ukikosa kusudi lako, utaishi kwa kuwafurahisha wengine. Ukikosa mfumo wako, utaendeshwa na mfumo wa watu wengine. #BaruaYaKocha itakufungua macho kuhusu: ✔️ Kwa nini watu wengi hupoteza mwelekeo wa maisha ✔️ Jinsi jamii inavyokuibia ndoto zako taratibu ✔️ Kwa nini kufuata kundi ni...
#DZK006; Swali Pekee Litakalokukomboa Kimafanikio
May 23, 2026 · 10m
🚨 UCHOVU WAKO HAUTOKANI NA KAZI NYINGI… BALI VITU VISIVYO NA MAANA! 🚨 Watu wengi wako bize… Lakini maisha yao hayasogei mbele. 😔 📌 Maneno mengi yasiyo na faida. 📌 Mijadala isiyo na matokeo. 📌 Simu na mitandao inayomeza muda. 📌 Watu wanaonyonya nguvu na umakini wako. Kwenye #BaruaYaKocha utajifunza: 🔥 Kwa nini maisha yako yamejaa kelele zisizo muhimu 🔥 Jinsi ya kupata utulivu, muda na...
#DZK005; Jua Hasa Unachotaka, Uwe Hatari Kwenye Mafanikio
May 22, 2026 · 10m
⚠️🧠 UKIJUA HASA UNACHOTAKA, UNAKUWA MTU HATARI SANA KWENYE MAFANIKIO Watu wengi wanaishi maisha ya kuchoka, kuhangaika na kuzunguka sehemu moja, Kwa sababu hawajajua hasa wanataka nini. Nguvu zao zinatawanyika kila upande. 😓 Lakini siku utakapojua hasa unachotaka kwenye maisha yako… Unakuwa MTU HATARI sana kwenye mafanikio. 🔥💣 Unaanza kuona usumbufu kama adui. ⛔ Unaanza kutumia muda kwa...
#DZK004; Akili Tulivu Ndiyo Silaha Ya Mafanikio Makubwa
May 21, 2026 · 10m
😰🧠 JE, MATATIZO YANAKUNYIMA USINGIZI? Watu wengi hawashindwi kwa sababu hawana uwezo. Wanashindwa kwa sababu akili zao zimejaa mawazo, hofu, na wasiwasi usioisha. Usiku wanashindwa kulala. Asubuhi wanaamka wamechoka. Na siku nzima wanapambana wakiwa tayari wameishiwa nguvu. Lakini kuna siri kubwa ya watu waliofanikiwa sana duniani: 🧠 Wanajifunza "kufuta ubao wa akili zao." 😴 Wanalala kwa...
#DZK003; Endea Ndoto Zako Kwa Ujasiri Mkubwa
May 20, 2026 · 10m
🚀 NDOTO ZAKO HAZITATIMIA KWA KUZITAMANI TU. Mwandishi Henry David Thoreau aliandika: “Ukisonga kwa ujasiri kuelekea ndoto zako, na kuamua kuishi maisha unayoyawazia, utakutana na mafanikio ambayo watu wengi hawakuyatarajia.” 🔥 Hii ndiyo siri ya mafanikio makubwa. Watu wengi wana ndoto. Wachache wanaanza. Na wachache zaidi wanaendelea mpaka washinde. 💡 Ukisubiri mpaka ujisikie tayari, unaweza...
#DZK002; Salama Ni Hatari Zaidi Kwa Mafanikio Yako.
May 19, 2026 · 10m
🔥💰 NJIA INAYOONEKANA SALAMA NDIYO HATARI KUBWA ZAIDI! ⚠️🚀 Watu wengi wanaogopa kuacha ajira, kuanza biashara, kuhama kwenda sehemu mpya, au kujitoa kikamilifu kwenye ndoto zao kwa sababu wanaona ni hatari kubwa. 😨 Lakini ukweli ni huu: 🚫 Kutochukua hatua ndiyo hatari kubwa zaidi. 🚫 Kubaki ulivyo ndiyo hatari kubwa zaidi. 🚫 Kuchelewesha ndoto zako ndiyo hatari kubwa zaidi. 🚫 Kuchagua...
#DZK001- Neno Kuu La Ushindi - VIZURI
May 19, 2026 · 10m
🔥 MAMBO YANAPOHARIBIKA, USISEME “KWA NINI MIMI?” — SEMA NENO MOJA TU: VIZURI. Umekataliwa? VIZURI. Umepoteza fedha? VIZURI. Biashara imeshuka? VIZURI. Mpango umefeli? VIZURI. Changamoto zimeongezeka? VIZURI. Ndani ya kila tatizo kuna somo. Ndani ya kila hasara kuna fursa. Ndani ya kila maumivu kuna nguvu mpya ya kukufanya uwe bora zaidi. Kama bado unapumua, bado unaweza kupigana. Kama bado...
UNA MUDA WA KUTOSHA
Feb 1, 2017 · 14m
Muda umekuwa changamoto kwa wengi kushindwa kufikia ndoto zao. Wengi wanasema hawana muda, au wakipata muda watafanya kitu fulani. Ukweli ni kwamba huwezi kupata muda, bali unaweza kutenga muda. Sikiliza kipindi cha leo ujifunze namna unavyoweza kutenga muda wa kufanya yale muhimu kwako. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support...
SAA MOJA MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YAKO
Jan 12, 2017 · 14m
Katika masaa 24 ya siku, unahitaji kutenga saa moja kwa ajili yako binafsi. Kwa kuweza kuitumia vizuri saa hii moja utaweza kuwa na maisha bora yenye mafanikio makubwa. Sikiliza kipindi hiki ujue njia bora za kuenga na kutumia saa moja kwa ajili yako binafsi. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha...
Hakuna Maisha Kama Hakuna Mabadiliko
Oct 3, 2016 · 15m
Mabadiliko ni kitu ambacho kinapaswa kufanywa kila siku na kila mtu. Kama unataka kuboresha maisha yako, lazima ubadili kitu kila siku. Sikiliza kipindi hiki kujifunza kuhusu mabadiliko. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA...
Fukuza Wateja Hawa.
Sep 27, 2016 · 14m
Siyo kila mtu anaweza kuwa mteja wa biashara yako.Unahitaji kuchagua aina ya wateja ambao utafanya nao biashara na kujua wateja ambao unahitaji kuwaepuka kwenye biashara yako. Sikiliza kipindi hiki cha leo kujua wateja wakuwa nao na wateja wa kuwafukuza. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr...
Usikubali Kirahisi
Sep 21, 2016 · 14m
Kila unachofanya kwenye maisha yako utakutana na changamoto. Je unapambanaje na changamoto hizi? Sikiliza kipindi hiki kupata mbinu za kukabiliana na changamoto unazokutana nazo. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA +...
Kulalamika...
Aug 31, 2016 · 13m
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support . Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO ; Kujenga...